Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akimvalisha nishani Nd,Panuel Mkumbo kutoka Nchini Kenya akiwa mshindi wa kwanza Wanaume katika mashindano ya Kimataifa ya Riadha (Zanzibar International Marathon) ya kilomita 21 aliyetumia Saa 1:04:48 yaliyofanyika leo katika Uwanja wa Amaan Studium Jijini Zanzibar.[Picha na Ikulu] 18/07/2021.
Wanariadha wakichuana katika mashindano ya Kimataifa ya Riadha (Zanzibar International Marathon) ya kilomita 05 yaliyoanzia viwanja vya Ngomekongwe Mji mkongwe leo na kumalizia katika Uwanja wa Amaan Studium Jijini Zanzibar.[Picha na Ikulu] 18/07/2021.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi,Mama Marium Mwinyi na Makamo wa Kwanza wa Rais Mhe.Othman Masoud Othman (katikati) wamejumuika na wanamishezo mbali mbali katika mashindano ya Kimataifa ya Riadha (Zanzibar International Marathon) ya kilomita 05 yaliyoanzia leo katika Viwanja vya Ngomekongwe,Mji Mkongwe na kumalizia Uwanja wa Amaan Studium Jijini Zanzibar .[Picha na Ikulu] 18/07/2021.



No comments:
Post a Comment