Search This Blog

Thursday, July 22, 2021

Rais wa Madagascar Andry Rajoelina anusurika kuuawa


 Jaribio la kumuua Rais wa Madagascar, Andry Rajoelina limegonga mwamba ambapo watu kadhaa wanaodaiwa kuhusika na jaribio hilo wamekamatwa, mwendesha mashtaka anasema.

Ofisi ya mwendesha mashtaka mkuu nchini humo imesema ilifanikiwa kuzuia jaribio hilo jana Jumanne Julai 21, 2021 na watuhumiwa wanashikiliwa kwa ajili ya uchunguzi zaidi.

"Ofisi ya mwendesha mashtaka mkuu inaahidi kutoa taarifa kwa kila hatua ya uchunguzi unaoendelea ili kupata mwangaza kuhusu kesi hii," amesema Mwendesha mashtaka, Berthine Razafiarivony.

Katika madhimisho ya siku ya uhuru Juni 26, polisi nchini humo walitangaza kuwa walifanikiwa kuzuia jaribio la kumuua mshauri wa rais Jenerali Richard Ravalomanana.




No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...