Search This Blog

Friday, July 2, 2021

Rais Samia awasili DSM, kuuaga mwili wa Mfugale

 


Rais Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Viongozi wa Serikali alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es salaam leo tarehe 02 Julai, 2021 kwa ajili ya kushiriki kuaga Mwili wa aliyekuwa Mtendaji Mkuu wa TANROADS Mhandisi Patrick Mfugale.



 



No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...