Search This Blog

Tuesday, July 27, 2021

Kocha wa Yanga achaguliwa kuwa Kocha Bora wa mwezi julai


Kocha Mohamed Nasreddine Nabi wa Yanga amechaguliwa kuwa Kocha Bora wa mwezi julai wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara Msimu wa 2020/21

Nabi aliiogoza Yanga sc kushinda mechi 2 na kutoka sare mechi 1 (aliifunga Simba Sc bao 1-0, Ihefu mabao 2-0 na kutoka sare 0-0 na Dodoma Jiji).
 

No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...