Search This Blog

Monday, July 5, 2021

Jeff Bezos aachia nafasi ya Mtendaji Mkuu wa Kampuni Amazon


Jeff Bezos (57) ameachia rasmi nafasi ya Mtendaji Mkuu wa Kampuni maarufu ya #Amazon iliyomfanya kuwa Bilionea, na nafasi hiyo itachukuliwa na Andy Jassy

Bezos ataendelea kuwepo katika Kampuni hiyo kama Mwenyekiti Mtendaji na ataelekeza muda wake mwingi zaidi kwenye Kampuni yake ya Masuala ya Anga na Harakati za Mabadiliko ya Hali ya Hewa



No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...