Leo June 4, 2021 Zari ni miongoni mwa wageni waliokaribishwa Bungeni Dodoma leo kushuhudia shughuli mbalimbali za Bunge kwa mwaliko wa Waziri wa Maliasili na Utalii, Dr. Damas Ndumbaro, Zari kwa sasa ni balozi wa hiyari wa utalii Tanzania.
NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...
No comments:
Post a Comment