Search This Blog

Monday, June 21, 2021

Uganda kugawa fedha kwa watakaoathirika na lockdown


Serikali ya Uganda imesema itatoa fedha kwa njia ya mtandao kwa raia walioathirika na ‘lockdown’ ya pili.

Uganda iliwahi kuwa na utaratibu wa ugawaji chakula ilipotangaza lockdown ya kwanza Aprili 2020, ambapo lilikosolewa kwa kuwa walengwa hawakufikiwa

Kutokana na changamoto hiyo, walengwa watapewa fedha kwa njia ya simu na wale ambao hawatakuwa na simu watapewa vocha maalum.



No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...