Search This Blog

Sunday, June 6, 2021

TFF yatoa taarifa kuhusu uchaguzi wa viongozi


Shirikisho la Soka Tanzania, (TFF) leo Juni 6 kupitia Kamati ya Uchaguzi ya Shirikishola Mpira wa Miguu Tanzania,  limetoa taarifa rasmi kuhusu uchaguzi wa viongozi ambapo unatarajiwa kufanyika tarehe 7/8/2021, Tanga.





No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...