The Big Boss Rick Ross, kwenye mahojiano yake mapya na Complex, ameweka wazi kuwa ataachia album yake mpya hivi karibuni.
Staa huyo wa MMG amesema album hiyo ameipa jina la "Richer Than I've Ever Been", ambayo itakuwa album yake ya 11 ikiifuata Port of Miami 2 iliyotoka Agosti 2019.
Rozay ambaye kwasasa anahisiwa kuwa kwenye mahusiano na model Hamisa @hamisamobetto, pia ameeleza ataachia ngoma mbili kwa mpigo kabla ya kuachia album yake.

No comments:
Post a Comment