Search This Blog

Tuesday, June 22, 2021

Rapper Kendrick Lamar anaiuza nyumba ya familia yao

 


Rapper Kendrick Lamar ameripotiwa kuiingiza sokoni nyumba ya familia yao iliyopo mjini California huko Marekani kwa kuipiga bei kwa $800,000 takribani Bilioni 1.8 za Kitanzania.

Nyumba hiyo ina jumla ya vyumba 4 vya kulala, mabafu 3 na jiko kubwa. Vingine ni gereji 3, pia kuna swimming pool pembeni. Imeelezwa.

Awali nyumba hiyo inatajwa kuwa walikuwa wakiishi wazazi wake pamoja na baadhi ya ndugu zake ambapo kabla ya kuiingiza sokoni aliwatafutia makazi mengine huko mjini Calabasas, Calif.



No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...