Search This Blog

Wednesday, June 2, 2021

Rais Samia amuapisha Mkuchika kuwa Waziri katika Ofisi ya Rais Ikulu, Kazi Maalum


Rais Samia Suluhu Hassan amemuapisha Kapteni Mstaafu George Mkuchika kuwa Waziri katika Ofisi ya Rais Ikulu, Kazi Maalum.

Kabla ya kuteuliwa kushika wadhifa huo, Kapteni Mstaafu Mkuchika alikuwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, nafasi inayoshikiliwa hivi sasa na Mohamed Mchengerwa.

Hafla ya kuapishwa kwa Kapteni Mstaafu Mkuchika imefanyika Ikulu Chamwino mkoani Dodoma, ambapo pia Makatibu Tawala wa mikoa walioteuliwa hivi karibuni na Rais Samia Suluhu Hassan wanaapishwa.




No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...