Search This Blog

Tuesday, June 1, 2021

Rais Samia afanya ziara katika Hospitali ya Mwananyamala, awatia moya wauguzi na Madaktari

 


Rais Samia Suluhu Hassan amefanya Ziara katika Hospitali ya Mwananyamala Leo Juni 1, 2021, Rais Samia amewataka Madaktari na wauguzi kufanya kazi kwa kujitoa huku akiwaahidi kuwaboreshea Maslahi yao

"Kazi yetu si tu ya mshahara, lakini ni kazi ambayo Mungu ameumba viumbe wakipata shida wanakuja kwenu mnawarudishia afya zao, na hakuna sadaka nzuri kwenye dini zote kuliko kumrudishia mtu uoni na afya yake,Mungu amewaweka hapo kwa makusudi" - Rais Samia

"Nimeona kazi yenu nzuri, najua kwamba kuna upungufu mko kidogo mnafanya kazi nyingi sana na nimeona kwa macho yangu, lakini niwaombe msichoke, endeleeni kufanya kazi kwa sababu na mimi sichoki, mimi nisipochoka nanyi msichoke nisaidieni" - Rais Samia"



No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...