Search This Blog

Monday, June 14, 2021

Mwili wa Mtangazaji Fredwaa kuagwa leo Dar, hii hapa ratiba nzima



Ratiba imeanza asubuhi hii ambapo mwili wa Marehemu umeletwa nyumbani na baadae heshima za mwisho zitatolewa katika Kanisa Katoliki St. Gasper Mbezi Beach kuanzia saa saba mpaka saa nane mchana.

Kisha mwili wa Marehemu utasafirishwa kwenda Sanya Juu mkoani Kilimanjaro jioni ya Leo kwaajili ya mazishi.



No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...