Search This Blog

Wednesday, June 16, 2021

Mkuu wa mkoa wa Katavi azindua karakana ya kisasa


Mkuu wa mkoa wa Katavi, Mwanamvua Mrindoko amezindua karakana kubwa na ya Kisasa, ambayo itatengeneza mashine mbalimbali zitakazotumiwa na Wakulima katika kurahisisha shughuli zao.

Karakana hiyo itatengeneza mashine za kusindika mazao, kupura mpunga, ngano na mahindi, pamoja na kukamua mafuta na kuvuna mazao mbalimbali.



No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...