Search This Blog

Tuesday, June 1, 2021

Kigamboni: Mtambowa wanaoiba mafuta wabainika


Ukaguzi uliofanywa na Mkuu wa Wilaya umebaini nyumba moja iliyopo Ulongozi ina vifaa vya kuchimba visima, lakini vinatumika kuchimba kuelekea Bomba la Mafuta

Katika Ukaguzi huo vifaa mbalimbali vimegundulika yakiwemo magari yanayosadikiwa kutumika kubeba mafuta kutoka eneo wanalochimbia na kuyasambaza maeneo mbalimbali

Nyumba inayotumika kufanya shughuli hizo imekutwa na ulinzi mkubwa wa Kamera na walinzi japo hapakuwa na shughuli yoyote inayoendelea ndani. Imeelezwa, aliyepanga nyumba analipa Tsh. Milioni 60 kwa mwaka kama Kodi




No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...