Search This Blog

Wednesday, June 16, 2021

Hii hapa ratiba ya ligi kuu leo

 


LEO Juni 16, Ligi Kuu Tanzania Bara inaendelea ambapo kutakuwa na mechi mbili kali zitakazochezwa kwenye viwanja viwili tofauti.

JKT Tanzania inayonolewa na Kocha Mkuu, Mohamed Abdalah ikiwa ipo nafasi ya 15 na pointi 33 v Ihefu, inayonolewa na Zuber Katwila iliyo nafasi ya 12 na pointi 34, Uwanja wa Jamhuri, Dodoma.

Kagera Sugar inayonolewa na Kocha Mkuu, Francis Baraza ikiwa na pointi 33 nafasi ya 13 v Tanzania Prisons inayonolewa na Salum Mayanga yenye pointi 41 nafasi ya 8,  Uwanja wa Kaitaba.



No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...