Search This Blog

Friday, June 25, 2021

Breaking News: Mahakama Kuu yatengua hukumu iliyowatia hatiani kina Mbowe

 


Mahakama Kuu ya Tanzania imetengua hukumu ya Mahakama ya Kisutu iliyowatia hatiani Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na wenzake nane. Yaagiza faini walizolipa zirudishwe

Wakili wa Chadema, John Mallya ameieleza Mwananchi Digital leo Ijumaa Juni 25, 2021 kuwa uamuzi huo wa Mahakama Kuu umetolewa leo.



No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...