Search This Blog
Sunday, May 2, 2021
Waziri Mkuu Majaliwa ahudhuria fainali za mashindano ya kimataifa ya Quran Tukufu
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na viongozi mbalimbali wakifuatilia fainali za Mashindano ya Kimataifa ya Quran Tukufu kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es salaam, Mei 2, 2021. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mufti na Sheikh Mkuu wa Tanzania, Abubakar Zubeir wakati alipowasili kwenye ukumbi wa Diamond Jublee jijini Dar es salaam kuwa Mgeni Rasmi katika Fainali za Mashindano ya Kimataifa ya Quran Tukufu, Mei 2, 2021. Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Dar es salam, Abubakar Kunenge. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na viongozi wakati alipowasili kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es salaam salaam kuwa Mgeni Rasmi katika Fainali za Mashindano ya Kimataifa ya Quran Tukufu, Mei 2, 2021. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Punguza kilo tano kwa siku saba
NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...
-
Kiwanja kinauzwa kipo Dodoma Mahungu njia ya kwenda Singida kabala hujafika NALA. Kiwanja ni cha Makazi kinaukubwa wa Sqm 450 ( 15 X...
-
Akionekana kwa mara ya kwanza kwa umma tangu aondoke madarakani, aliyekuwa Rais wa Marekani Donald Trump ameweka wazi uwezekano wa kuwania...
No comments:
Post a Comment