Search This Blog

Saturday, May 15, 2021

Stephen Kagaigai ateuliwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro


Rais Samia Suluhu Hassan amemteua aliyekuwa Katibu wa Bunge la Tanzania, Stephen Kagaigai kuwa Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro akichukua nafasi ya Anna Mghwira aliyestaafu

No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...