Search This Blog

Tuesday, May 11, 2021

Ratiba ya michezo ya Robo Fainal Azam Sports Federation Cup

 

Droo ya robo fainali ya Kombe la Shirikisho ambalo lipo mikononi mwa Simba imechezwa leo na ilikuwa mubashara AzamSports1HD.

Mbele ya vikapu alikuwepo Maalim Saleh na Hussein Sued ambao walikuwa wakichezesha droo hiyo na mambo yamekuwa namna hii:-

Simba v Dodoma Jiji

Rhino Rangers v Azam FC

Biashara United v Namungo FC

Mwadui FC v Yanga

Nusu fainali 

Mshindi wa mchezo wa Simba v Dodoma atakutana na mshindi wa mchezo kati ya Rhino v Azam FC.

Mshindi wa Biashara United v Namungo atakutana na mshindi wa mchezo kati ya Mwadui FC v Yanga



No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...