Search This Blog
Thursday, May 6, 2021
Rais Dkt. Mwinyi awasili uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Jijini Zanziba akitokea kisiwani Pemba
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akiongozana na Mkewe Mama Mariam Mwinyi, akisalimiana na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman Abdulla na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe.Idrisa Mustafa Kitwana alipowasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Jijini Zanzibar, akitokea Kisiwani Pemba baada ya kumaliza ziara yake ya Siku mbili Pemba.(Picha na Ikulu)
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi, akisalimiana na Wakuu wa Vikosi vya Ulinzi na Usalama Zanzibar, baada ya kuwasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Jijini Zanzibar, akitokea Kisiwani Pemba baada ya kumaliza ziara yake ya Siku mbili.(Picha na Ikulu)
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Punguza kilo tano kwa siku saba
NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...
-
Kiwanja kinauzwa kipo Dodoma Mahungu njia ya kwenda Singida kabala hujafika NALA. Kiwanja ni cha Makazi kinaukubwa wa Sqm 450 ( 15 X...
-
Akionekana kwa mara ya kwanza kwa umma tangu aondoke madarakani, aliyekuwa Rais wa Marekani Donald Trump ameweka wazi uwezekano wa kuwania...
No comments:
Post a Comment