Search This Blog

Saturday, May 1, 2021

PICHA: Wafanyakazi wa TANESCO washiriki maadhimisho ya Mei Mosi Mwanza

Picha mbalimbali za wafanyakazi wa Shirika la umeme Tanzania (TANESCO) wakishiriki katika maandamano kwa kupita mbele ya mgeni Rasmi Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan kwenye maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani Mei Mosi Kitaifa yanayofanyika kwenye uwanja wa CCM Kirumba Mkaoni Mwanza leo Mei,1, 2021. Viongozi na wageni waalikwa mbalimbali wameshiriki katika maadhimisho hayo. 









 



No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...