Timu ya pamba fc imefanikiwa kupata matokeo baada ya kuifunga ken gold toka chunya jijini mbeya kwa jumla ya magoli 4-1, hivyo kuifanya timu ya pamba kwenda hatua ya mwisho kutafuta nafasi ya kucheza vpl msimu ujao mchezo wa kwanza uliochezwa jijini mbeya pamba walifungwa magoli 2-0,hivyo kwa matokeo jumla pamba wanasonga mbele kwa jumla ya ushindi wa magoli 4-3.
No comments:
Post a Comment