Search This Blog

Saturday, May 29, 2021

Nay wa Mitego apata ajali Dar


Msanii wa HIP HOP nchini, Nay wa Mitego amepata ajali ya bodaboda wakati anawahi kwenye Interview ya kipindi cha "Friday Night Live" kinachorushwa na East Africa TV.

Kwa sasa msanii huyo anaendelea vizuri ambapo  yupo katika Hospitali ya Kairuki Mikocheni akipatiwa matibabu .



No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...