Search This Blog

Wednesday, May 19, 2021

Msanii wa nyimbo za asili aonya kuhusu mavazi yanayodhalilisha Taifa


Na Timothy Itembe Mara.

Msanii wa nyimbo za asili kutoka kabila la waluo kmazi wa kijiji cha Nyanjage wilayani Rorya mkoani Mara,Amisso Jasuba maarufu Supa ster ndani ya Rorya amewataka wasanii hapa nchini kuacha kuvaa mavazi ya kuiga ya kigeni badala yake watumie mavazi yanayo ijengea heshima Taifa.

Akizungumza na mwaandishi wa habari hizi amsema kuwa kuna baadhi ya wasanii wanapenda kuvaa kwa kuiga mila za kigeni jambo ambalo haliwajengi badala yake linadhalilisha utaifa na kuwashushia heshima/.

Akisimulia historya ya mziki alisema mziki kwake ni kipaji ambacho aliridhi kutoka kwa mababu zake kama vile Omore Kasumba,Ayang’i Ochieng’i,Olima Andidi  na wengine.

Amisso(Super Ster Rorya  alisema kipaji hicho anapenda kuwashirikisha wasaani wenzake kwa kushirikiana hususani kutoka Rorya ili kufungua frusa kwa vijana kwa maendeleo ya Taifa letu.

Super Ster huyo ameongeza kusema mavazi yasiyofaa yakuiga yalashusha maadili kwa mtumiaji na mtazamaji ambapo hiyo inapoteza ladha ya mziki kwa walengwa wanayo itazama kwenye luninga.

Amisso ameongeza kutaja baadhi ya nyimbo zilizo mpa umaarufu alizo wahi kutoa kuwa ni pamoja na Amisso Onyieng’i Ndugu,Amisso Jasuba,Amisso Agusso,Amisso Mramba Nyamkinda ya (vodeo),Amisso Nyombo Bere na zingine nyingi.

Zilizojikoni kwa lengo la kutoa Albamu mpya ni pamoja na Amisso Ajli ya vodeo,Amisso Ajali morogoro ya video,

Msanii huyo amewataka wadau mbalimbal8i hususani wanyumbani Rorya kama vile Lmeck Airo,Ongujo Wakibari,Ramogi Ramogi Mbunge Chege,Mwenyekiti wa CCM Mara Smweli Keboye Namba Tatu,Tajiri motto na wengine wengi hata walinje ya nchi,Babu Kore kusini na wengine wengi.

Msanii huyo pia amesisitiza kurudi nyumbani kukuza kipaji pamoja na kufungua frusa za umziki kwa vijana na usani kwa ujumla kwa hali hiyo anaomba jamii kumwamini na kumkuza kama wengine wanapotukuzwa na kukuzwa  kwao(Mcheza kwao hutuzwa).



No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...