Search This Blog

Sunday, May 16, 2021

Mo Dewji azima ndoto yake ya kujinunulia Ferarri na Rolls Royce Kisa Simba "furaha ya Simba ni muhimu kuliko starehe yangu"


 Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Simba, Mohamed Dewji  ameeleza kupiga chini mpango wake wa kujizawadia magari aina ya Ferarri na Rolls Royce.

Kauli hiyo ameitoa kupitia ukurasa wake wa Instagram ambapo amedai kuwa mpango huo anauweka kapuni na fedha hizo atazielekeza katika klabu ya Simba.

"Nilipanga kujizawadia Ferrari na Rolls-Royce, sina budi kuweka mpango huu kapuni kwa sasa na kuelekeza fedha zaidi katika klabu yetu ya SimbaSC . Furaha ya @SimbaSCTanzania ni muhimu kuliko starehe yangu. Simba kwanza!"





No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...