Search This Blog
Tuesday, May 11, 2021
Kamati ya Bunge ya Miundombinu yapatiwa Semina kuhusu Mawasiliano na Intaneti
Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Dkt. Faustine Ndugulile akifafanua jambo kwa wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu (hawapo pichani) kuhusu huduma za mawasiliano na intaneti Bungeni, Dodoma. Aliyeketi katikati ni Dkt. Zainab Chaula, Katibu Mkuu na anayesikiliza ni Naibu Katibu Mkuu, Dkt. Jim Yonazi wa Wizara hiyo.
Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Dkt. Faustine Ndugulile akitoa taarifa kwa wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu kuhusu huduma za mawasiliano na intaneti Bungeni, Dodoma. Aliyeketi wa pili kulia ni Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Dkt. Zainab Chaula na wa kwanza kushoto ni Makamu Mwenyekiti wa Kamati hiyo, Anne Kilango Malecela.
Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu, Seleman Kakoso akizungumza baada ya Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Dkt. Faustine Ndugulile (aliyeketi mbele katikati) kuwasilisha taarifa kuhusu mawasiliano na intaneti kwa Kamati hiyo Bungeni, Dodoma. Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Dkt. Zainab Chaula, akimsikiliza.
Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu, Anne Kilango Malecela akichangia mada baada ya Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Dkt. Faustine Ndugulile (hayupo pichani) kuwasilisha taarifa kwa Kamati hiyo kuhusu mawasiliano na intaneti Bungeni, Dodoma.
Mbunge wa Ilala, Mussa Zungu akichangia hoja kwenye Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu baada ya Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Dkt. Faustine Ndugulile (hayupo pichani) kuwasilisha taarifa kuhusu mawasiliano na intaneti kwa Kamati hiyo Bungeni, Dodoma.
Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Dkt. Faustine Ndugulile (wa kwanza kulia) na Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Dkt. Zainab Chaula (wa kwanza kushoto) wakisikiliza kwa makini maoni ya wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu baada ya kuwasilisha taarifa ya mawasiliano na intaneti kwa Kamati hiyo Bungeni, Dodoma.
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania, Dkt. Jabir Bakari akifafanua jambo kwa wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu baada ya Waziri wa Wizara ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Dkt. Faustine Ndugulile (hayupo pichani) kuwasilisha taarifa kuhusu mawasiliano na intaneti kwa Kamati hiyo Bungeni, Dodoma. Wa kwanza kulia ni Katibu wa Wizara hiyo, Dkt. Zainab Chaula na katikati ni Naibu Katibu Mkuu, Dkt. Jim Yonazi.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Punguza kilo tano kwa siku saba
NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...
-
Kiwanja kinauzwa kipo Dodoma Mahungu njia ya kwenda Singida kabala hujafika NALA. Kiwanja ni cha Makazi kinaukubwa wa Sqm 450 ( 15 X...
-
Akionekana kwa mara ya kwanza kwa umma tangu aondoke madarakani, aliyekuwa Rais wa Marekani Donald Trump ameweka wazi uwezekano wa kuwania...







No comments:
Post a Comment