Search This Blog

Sunday, May 2, 2021

Fanyeni kazi tunataka Mamilionea kupitia Biashara - RC Kunenge


 Katika kusheherehekea Miaka 17 ya Silent Ocean  Toka ilipoanzishwa mwaka 2004 Mhe.Mkuu wa mkoa Dar-es-salaam Abubakar Kunenge, ambaye alikuwa mgeni katika hafla hiyo kwenye Ukumbi wa Diamond Jubilee.

 Alisema, Mkoa wa Dar-es-Salaam unakuwa kwa kasi sana kupitia Biashara mbalimbali zinazofanyika ndani ya mkoa huu.

Aidha akaongezea kwa kusema kuwa "Nataka kuwahakikishia mimi ndio mkuu wa mkoa wa Dar-es-salaam mwakilishi wa Wa mhe.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia suluhu Hassan Hapa fanyeni Biashara tunataka Mamilionea kupitia Biashara.



No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...