Search This Blog

Saturday, April 10, 2021

Twaha Kiduku amtwanga Mkongo katika pambano la uzito wa kati


Twaha Kassim maarufu kama Twaha Kiduku amezidi kuonesha ubabe katika ulingo baada ya kumpiga Tshbangu Kayembe kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo katika pambano la round nane

Mchezo huo wa uzito wa Kati (Middle weight) ulichezwa usiku wa kuamkia Aprili 10, 2021 katika ukumbi wa Ubungo Plaza. Ikiwa na mapambano mengine saba ya utangulizi

Katika mmoja wa michezo ya utangulizi mtanzania Yonas Segu maarufu kama Black Mamba amepoteza mkanda wa WBF- African Champion Light Weight baada ya kupigwa kwa Technical Knock Out (TKO) na Mmalawi, Hannock Phiri

Awali pambano lilibidi kufanyika Machi 19, kutokana na maombolezo ya hayati Rais Magufuli ilibidi kusogezwa mbele hadi Aprili 9




No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...