Juventus wanampango wa kumsajili mshambuliaji wa Barcelona Ousmane Dembele, 23, mkataba wake utakapoisha 2022.
Klabu za Paris St-Germain, Real Madrid na Inter Milan zinamfuatilia winga Jesse Lingard tabla ya dirisha la usability halijafunguliwa mwishoni mwa msimu. Lingard, 28, anang'ara kwa sasa ambapo anachezea klabu ya West Hamkwa mkopo akitokeaManchester United. (ESPN)external-link
Arsenal wangali na nia ya kumsajili mshambuliaji wa klabu ya Celtic Odsonne Edouard,23, lakini wanakabiliana na ushindani kutoka Leicester. (Telegraph - subscription required)external-link
Manchester United wanasita kuingia katika mazungumzo na klabu ya Borussia Dortmund ya usajili wa mshambuliaji raia wa Norway Erling Braut Haaland, 20, baada ya kushindwa kuafikiana bei nafuu kwa mchezaji mwengine wa timu hiyo, Jadon Sancho mwishoni mwa msimu uliopita. (The Athletic - subscription required)external-link
Licha ya kushindikana kea mazungumzo hayo, Manchester United hata hivyo hawajafunga milango juu ya uwezekano wa kumuwinda tena Sancho mwishoni mwa msimu huu. (Manchester Evening News)external-link
Manchester United wamehuisha nia yao ya kumsajilili kiungo wa Lazio Sergej Milinkovic-Savic, 26. Kiungo huyo pia anafuatiliwa na Real Madrid na PSG.(Gazzetta - in Italian)external-link
Tottenham wanajiandaa kumsajili beki wa Bayern Munich Jerome Boateng, 32. Beki huyo wa kati ataondoka klabuni hapo mwishoni mwa msimu. (Sky Germany - in German)external-link
Tottenham wataelekeza nguvu katika kuimarisha safu yao ya ulinzi mwishoni mwa msimu, lakini itawapasa kwanza wawauze baadhi ya wachezaji wao ili kupata pesa za kusajili mabeki bora. (Mail)external-link
AC Milan wana nia ya kumsajili moja kwa moja beki wa kati Fikayo Tomori, 23, ambaye anaichezea klabu hiyo kwa mkopo akitokea Chelsea. (Corriere dello Sport, via Sport Witness)external-link
Juventus wanampango wa kumsajili mshambuliaji wa Barcelona Ousmane Dembele, 23, mkataba wake utakapoisha 2022. (Mundo Deportivo - in Spanish)external-link

No comments:
Post a Comment