Search This Blog
Thursday, April 29, 2021
Picha: Waziri Mkuu Majaliwa alivyowafuturisha Wabunge
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na wabunge katika futari aliyowaandalia kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma, Aprili 28, 2021. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Spika wa Bunge, Job Ndugai akizungumza na Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Abdallah Ulega (kushoto) na Mwenyekiti wa Bunge, Najma Murtaza Giga kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma, Aprili 28, 2021. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Baadhi ya wabunge wakishiriki katika futari iliyoandaliwa na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma, Aprili 28, 2021. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Spika wa Bunge, Job Ndugai (wa pili kushoto), Spika wa Baraza la Wawakilishi, Zubeir Ali Maulid (kulia) na Naibu Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson Mwansasu (kushoto), katika futari ambayo Waziri Mkuu aliwaandalia wabunge kwenye viwanja vya Bunge jijjini Dodoma, Aprili 28, 2021. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Punguza kilo tano kwa siku saba
NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...
-
Kiwanja kinauzwa kipo Dodoma Mahungu njia ya kwenda Singida kabala hujafika NALA. Kiwanja ni cha Makazi kinaukubwa wa Sqm 450 ( 15 X...
-
Akionekana kwa mara ya kwanza kwa umma tangu aondoke madarakani, aliyekuwa Rais wa Marekani Donald Trump ameweka wazi uwezekano wa kuwania...
No comments:
Post a Comment