Search This Blog

Thursday, April 22, 2021

Mino Raiola adai Haaland hatauzwa

 


Mino Raiola, wakala wa mchezaji wa Klabu ya Borussia Dortumund, Erling Haaland amesema kuwa timu hiyo haitamuuza mchezaji huyo. 

Raiola amesema kuwa anafahamu mabosi wa mchezaji huyo hawana mpango wa kumuuza Haaland ambaye amekuwa akitajwa kuwekwa kwenye rada za timu kubwa zinazoshiriki Ligi Kuu England.

Miongoni mwa timu ambazo zinatajwa ni pamoja na Manchester United, Chelsea. Liverpool na Manchester City.

Wakala huyo amesema kuwa haliwezi kuwa suala jepesi kwa staa huyo kuondoka kwenye timu anayoitumikia kwa sasa.

"Naheshimu maamuzi yao lakini ipo wazi kwamba klabu yake haitaki kumuuza mshambuliaji huyo kwa sasa," .



No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...