Search This Blog

Wednesday, April 7, 2021

Ligi kuu kuanza leo baada ya siku 21 za maombolezo, ratiba kamili ipo hivi


 LIGI Kuu Tanzania Bara leo Aprili 8 inatarajiwa kuendelea kuchezwa mzunguko wa pili baada ya siku 21 za maombolezo kufuatiwa kifo cha aliyekuwa Rais wa awamu ya tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Mbeya City iliyo nafasi ya 16 na pointi 20 itawakaribisha Kagera Sugar iliyo nafasi ya 13 na pointi 25,  Uwanja wa Sokoine.

Namungo FC  iliyo nafasi ya 10 na pointi 27 itawakaribisha  Ihefu iliyo nafasi ya 17 na pointi 20, Uwanja wa Majaliwa.



No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...