Afisa Mtendaji Mkuu wa Simba SC, Barbara Gonzalez ametangaza kuwa Kampuni ya Vunja Bei ndio imeshinda tenda ya jezi za klabu hiyo.
Kwa mujibu wa Barbara mkataba wa tenda hiyo unagharimu shilingi bilioni mbili na ni wa miaka miwili.
Kwa mujibu wa Barbara mkataba wa tenda hiyo unagharimu shilingi bilioni mbili na ni wa miaka miwili.
NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...
No comments:
Post a Comment