Search This Blog

Friday, April 9, 2021

Awilo atua Dar, apokelewa kwa shangwe

 


Baada ya zaidi ya miaka 20 Msanii Mkongwe kutokea DRC Congo Awilo Longomba amerejea tena Tanzania akipokewa kwa shangwe.

Awilo ambaye yupo Tanzania kutokana na utayarishaji wa Filamu aliyoshiriki amesema atakuwa hapa kwa muda wa mwezi mzima hivyo lolote kuhusu Muziki pia linaweza kutokea.

Kuhusu Wasanii wa Bongofleva anaowakubali Awilo amemtaja Diamond Platnumz, Harmonize, Alikiba na Rosa Ree.



No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...