Search This Blog

Friday, April 23, 2021

ASW HAABUL KAHFI ISLAMIC CETRE INAWAALIKA WATU WOTE KUHUDHURIA FAINALI YA MASHINDANO YA 6 YA KUHIFADHI QUR'AN TUKUFU JUMAMOSI APRILI 24

 


 ASW HAAABUL KAHFI 
ISLAMIC CENTRE

Inawaalika watu wote kuhudhuria Fainali ya mashindano ya  6 ya kuhifadhi Qur'an Tukufu yatakayofanyika siku ya jumamosi tarehe 24.4.2021  katika viwanja vya Argentina Yombo Vituka Temeke kuanzia saa 1 asubuhi saa 7 mchana.

Mgeni rasmi atakuwa waziri wa nchi ofisi ya Rais Muungano na Mazingira Mhe. Sulemani Said Jafo.

Mshindi kujinyakulia zawadi nono.


No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...