Search This Blog

Saturday, February 6, 2021

VIDEO: Watumishi 11 wa halmashauri wafikishwa mahakamani kwa wizi wa milioni 400


Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa TAKUKURU mkoa wa Kagera imewafikisha Mahakamani watumishi 11 wa halmashauri hiyo kwa tuhuma za wizi wa zaidi ya milioni 400 bila ruhusa ya mwajili wao wakiwa watumishi wa umma kinyume na maadili yao ya kazi na kuisababishia hasara serikali ambapo wamesomewa mashtaka yanayowakabili na mmoja kati yao ameweza kukidhi vigezo vya dhamana na kufanikiwa kupewa dhamana huku wengine 10 wakikosa vigezo na kurudishwa rumande.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI.....USISAHAU KUSUBSCRIBE



No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...