Search This Blog

Tuesday, February 16, 2021

Rais wa TEC atoa ujumbe wa kwaresma

 


Askofu Nyaisonga kutoka Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) asema wanatambua Dunia nzima inahangaika kupambana na maradhi ya COVID 19 yanayosabishwa na #VirusiVyaCorona

Awahimiza Watanzania kutokuwa watumwa wa hofu na kuchukua tahadhari. Asema ni wajibu wa kila mtu kuufuata ukweli na ushauri wa Wataalamu wa Afya


Amefafanua kuwa ushauri huo ni kunawa mikono mara kwa mara, kutokugusana au kutosalimia kwa mikono na kuepuka misongamano



No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...