Search This Blog

Wednesday, February 17, 2021

Rais Mwinyi atangaza siku saba za maombolezo Zanzibar kufuatia kifo cha Maalim Seif


Kufuatia kifo cha Makamu wa kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad, Rais wa Zanzibar, Dkt Hussein Mwinyi ametangaza siku saba za maombolezo ambapo bendera zitapepea nusu mlingoti na Rais  wa Jamhuri ya Muungano Tanzania Dk, John Pombe Magufuli ametangaza siku tatu za maombelezo ya kitaifa kuanzia leo bendera zitapepea nusu mlingoti.

Maalim Seif Sharif Hamad amefariki jana Jumatano saa 5:00 asubuhi katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili, Dar es Salaam.



No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...