Leo Februari 11, 2021 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli anatarajia kuzindua soko la kisasa (Soko kuu Morogoro) kisha kuzungumza na wafanyabiashara na wakazi wa Mkoa huo.
Jengo la soko hilo la ghorofa moja lililogharimu Sh17.6 bilioni mpaka kukamilika liliwa na maduka 304, vizimba 900, maeneo makubwa 16 kwa ajili ya taasisi za kibenki na ofisi, maegesho ya magari makubwa ya mizigo, maegesho ya magari madogo 143, vyoo, migahawa na stoo 36 za mitumba pamoja na bucha n.k

No comments:
Post a Comment