Search This Blog

Friday, February 5, 2021

“Mumeo akatafute kazi ingine” Mama amlilia Magufuli Mumewe kafukuzwa kazi

 


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Magufuli, amemshauri mwanamke aliyedai kuwa mume wake alikuwa ni askari magereza na alifukuzwa kazi baada ya kusingiziwa kwamba aliwapelekea wafungwa simu, watafute kazi nyingine si lazima mume wake awe askari magereza.

“Magereza yetu tunatakiwa tujenge nidhamu sasa akifukuzwa si ukatafute shughuli nyingine huyo mume wako kwani lazima aliambiwa atakaa tu kwenye magereza na yeye amesingiziwa kosa la kupeleka simu nne kwa wafungwa”, JPM

 “Wewe mama mume wako alifukuzwa, mambo ya Jeshi yana sheria zake, muone Mkuu wa Magereza lakini mimi nitajua ukweli uko wapi wakati nafahamu kweli kuna Maaskari Magereza siyo waaminifu wanawapelekea simu wafungwa na wengine hadi gongo na bangi” JPM



No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...