Search This Blog

Wednesday, February 24, 2021

LIVE: Rais Magufuli akizindua Ubungo Interchange Dar

Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania  Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli anazindua  Daraja Jipya la Ubungo -  Ubungo Interchange lilijengwa kwa fedha za serekali  na baadae atazindua  kituo kikuu cha mabasi  yaendayo mikoani na nchi jirani  Kilichojengwa  eneo la Mbezi Luis Dar es salaam.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI.......USISAHAU KUSUBSCRIBE



No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...