Search This Blog

Sunday, February 21, 2021

Jeshi la Yemen lakomboa baadhi ya maeneo

 


Jeshi la Yemen limetangaza maendeleo yake dhidi ya Houthis wanaoungwa mkono na Iran na kuuawa kwa wanamgambo 16 kwenye operesheni inayoendeshwa katika jimbo la Marib.


Tovuti ya kijeshi "september.net" ilichapisha taarifa juu ya mapigano na wanamgambo wa Houthis katika mkoa wa mashariki wa Marib.


Ilitangazwa kuwa baadhi ya ngome za udhibiti zilikombolewa na wanamgambo 16 waliuawa kwenye mapigano yaliyozuka katika eneo la Heylan lililoko magharibi mwa Marib.


Hakuna maelezo yoyote yaliyotolewa kutoka upande wa Houthis.



No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...