Search This Blog

Saturday, January 9, 2021

VIDEO: Kagera hamjanizeesha, kuna sehemu ukienda unatoka uso umechakaa-Waziri Jafo


Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI Mh. Selemani Jafo ameupongeza uongozi wa mkoa Kagera kwa kusimamia vizuri fedha za serikali zilizotumwa mkoani humo kwa ajili ya kutekeleza miradi mbalimbali ya maendeleo ikiwemo Afya, Maji, Barabara pamoja na Shule ambapo miradi yote imekamilika vizuri na kuahidi kuwaongezea fedha nyingine za kuboresha vituo vya Afya na kuongeza vyumba katika hospital za wilaya zilizojengwa mkoani humo.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI.....USISAHAU KUSUBSCRIBE



No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...