Rapa Gucci Man amemua kutoa Shukrani kwa Mpenzi wake Keyshia Kaoir, baada ya mpenzi wake huyo kujifungua salama mtoto wao wa Kwanza .
Kupitia Ukurasa wake wa Instagram, Keyshia Kaoir ameonyesha kufurahia zawadi hiyo ya kitita cha pesa na kushare habari hiyo kwa Mashabiki zake .
"Mpenzi wangu amenipatia Dolla Milion 1 (Tsh. Bilioni 2.3) kama zawadi ya kujifungua " - ameandika Keyshia kaoir .
No comments:
Post a Comment