Magufuli akimpokea mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Ethiopia Mhe.
Sahle-Work Zewde mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa
Geita mjini Chato leo Jumatatu Januari 25, 2021kwa ziara ya kikazi ya
siku moja.
Rais wa Jamhuri ya Muunmgano wa Tanzania Dkt. John Pombe
Magufuli akimtambulisha kwa viongozi mbalimbali mgeni wake Rais wa
Jamhuri ya Ethiopia Mhe. Sahle-Work Zewde alipowasili katika Uwanja wa
Ndege wa Geita mjini Chato leo Jumatatu Januari 25, 2021 kwa ziara ya
kikazi ya siku moja.


No comments:
Post a Comment