Search This Blog

Tuesday, January 12, 2021

Picha: Hivi ndivyo Wazanzibar walivyosheherekea mkesha wa Mapinduzi


Wananchi mbalimbali wakiangalia Urushwaji wa Fashfashi  Usiku kuamkia siku ya Kilele cha Maadhimisho ya Miaka 57 ya Mapinduzi Maisara Wilaya ya Mjini Unguja.



Muimbaji wa Kizazi Kipya Zanzibar Sabri Mshimba (CHABI SIKSI)akitumbuiza katika hafla ya Urushwaji wa Fashfashi Usiku kuamkia siku ya Kilele cha Maadhimisho ya Miaka 57 ya Mapinduzi Maisara Wilaya ya Mjini Unguja.

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe,Hemed Suleiman Abdulla watatu kutoa kulia akiangalia pamoja na Viongozi mbalimbali na Wananchi Urushwaji wa Fashfashi  Usiku kuamkia siku ya Kilele cha Maadhimisho ya Miaka 57 ya Mapinduzi Maisara Wilaya ya Mjini Unguja.

No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...