Search This Blog

Monday, January 18, 2021

Muuguzi mbaroni kwa wizi wa dawa za Zahanati


Jeshi la Polisi linamshilikilia Sungusungu wa Kijiji cha Nyamalogo, Fedson Matekele na William Desdez (27), Muuguzi wa Zahanati ya Nyamalogo kwa wizi wa Dawa za Binadamu na kuziuza

Kamanda wa Polisi wa Mkoa, Debora Magiligimba amesema, tukio hilo limetokea Januari 12 ambapo uchunguzi wa awali umebaini baadhi ya dawa zimekwisha muda wake wa matumizi lakini zimekuwa zikiuzwa na Fedson Matekele

Watuhumiwa watafikishwa Mahakamani baada ya uchunguzi kukamilika




No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...