Search This Blog

Sunday, January 3, 2021

Mazungumo ya amani ya Afghanistan kuanza tena Jumanne

 


Makamu wa Rais wa Marekani Mike Pence amekaribisha hatua za dakika za mwisho za kundi la maseneta kupinga kuidhinishwa kwa ushindi wa uchaguzi wa urais wa Joe Biden.


Maseneta 11 wa Republican na maseneta wateule, wakiongozwa na Ted Cruz, wanataka kura ya kuidhinisha ushindi wa Biden kuchelewasha kwa siku 10 ili kuchunguza madai ya wizi wa kura.


Hatua hiyo huenda isifaulu kwa sababu maseneta wengi wanatarajiwa kupiga kura ya kumuidhinisha Bw. Biden bungeni Januari tarehe 6.


Bw. Biden, ambaye ni mwanachama wa Democratic, ataapishwa rasmi kuwa rais wa Marekani Januari 20.




No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...