Search This Blog

Saturday, January 9, 2021

Mawiziri wajiuzulu wakiamini Trump alichochea vurugu Bungeni


Waziri wa Elimu Betsy DeVos, Waziri wa Usafiri Elaine Chao na Kongozi wa zamani wa Utumishi katika Ofisi ya Rais Donald Trump, Mick Mulvaney wametangaza kujiuzulu kutokana na ghasia zilizotokea Washington DC.

Waziri wa Elimu amesema amejiuzulu kutokana na maneno ambayo Rais Trump anapenda kuyatumia. Aidha, wafuasi wa Democratic wanaamini kuwa Trump alichochea ghasia.

Januari 6 mwaka huu, wafuasi wa Trump walivamia Bunge na kusababisha ghasia zilizopelekea vifo vya watu wanne.



No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...